HATIA VI (INTERLUDE) ni filamu inayotumia sitiari kuwasilisha majadiliano ya ndugu wawili kuhusu baba yao. Kupitia mazungumzo yao, filamu inagusa Epicurean Paradox na swali la uwepo wa Nguvu kuu ya asili yenye uwezo na nia ya kuondoa uovu, lakini bado uovu unaendelea kuwepo duniani. Maswali haya yanazidi kuchochea mvutano kati ya ndugu hao na kukosekana kwa majibu kunapelekea mvutano huo kuishia kwenye damu. Kupitia sitiari hii, kaini na abeli inachunguza namna imani, mashaka, hofu ya adhabu na migogoro kuhusu ukweli wa imani zetu, vinavyoweza kuzaa uhasama na vurugu. Simulizi hii ni ya kubuni na mfanano wa sura, mawazo na majina haukukusudiwa. Directed by Okek Ngongo & Jei Pro Casts Elvance Aledy Claudio James Script written By Elvance aledy Set Designer bybClaudio James Production manager by Elvance Aledy Editor Elvance aledy Okek Ngongo Colorist by King Michael Sound & audio mix by Bright Studio Jei-Pro-pictures based on the song interlude Hatia VI https://youtu.be/3ZJq1QXBKOs?si=cMKEdnR3TikydnOn and song Hatia VI https://youtu.be/GJspv-tU0-s?si=6e4bsE2vlup61jec