Grova is a music discovery platform for trending songs, new albums, popular artists, music charts and curated playlists. Discover the energy of Afrobeats, African music, Nigerian songs, Naija music, Amapiano, Afropop, gospel music and Christian worship songs, alongside global favorites and new music releases.
Explore more music from Southeast Asia, including Tagalog songs, Filipino music, OPM music, P-pop, Pinoy hits, Tagalog love songs and fresh songs from Filipino artists. Grova also features Indonesian music, lagu Indonesia, lagu terbaru, lagu viral, lagu cinta, Indonesian pop, Dangdut and popular local music for listeners looking for today’s Indonesian hits.
Whether you are searching for viral songs, relaxing music, praise and worship, party playlists, romantic songs, Afrobeat hits, OPM favorites, P-pop releases or the latest lagu hits Indonesia, Grova helps you discover music for every mood, moment and playlist. Browse songs, albums, artists and playlists to find familiar favorites, rising artists and your next repeat-worthy track.
Visuals for Tanzanian Hip Hop Artist, Songwriter, and Record Producer Dizasta Vina, Performing a record 'Shaaban na Ngũgĩ' Off the E,P "Ndugu wa Mbali" Side A Written by Dizasta Vina, Kaa La Moto Music by Dizasta Vina, J'cob Vocals by J'Cob Mixed and mastered by J'Cob Stream Ndugu wa mbali E.P now https://dizastavina.com/ndugu-wa-mbali/ Lyrics Ujio wa kasi na hadhi ya makombora Kichwa cha kazi, kadhi ya Hifadhi ya tungo bora Jihadi ya kutochoka, hitaji ya tunzo chora Kuona tofauti kati ya miradi hii ya Wakora Na baraka za mababu, sauti inaongea Kwa mahesabu ya dhahabu, ni aghalabu kukosea Ajabu ya hii rahabu, si upatu wa kuotea Na katu sioni tabu hizi tanzu kuzichochea Ilani zina rehema Wachawi wa miji yote ya mbali na ya jirani, imani zinatetema Ghani zinawiwa vyema, zinachapishwa tenzi za ndani Unaweza ukadhani Shabani kazaliwa tena Mswahili, uhali gani? Ihali gani kani? Ya msukumo wa kujifunza kutunza ilani kali Ya masimulizi na upangaji wa silabi nami Nakusafirisha hadi uhisi nyumbani mbali Huu ujio ni ishara ya tanzu za maana Kwenye vitivo vya mijadala, sauti yangu ni gharama Nikizuru mihadhara, wanga wanachagama Usiende pao pakavu na pangu pana salama Darasa linamdadisi mwalimu Linataja na jina ili kuonyesha linasadiki hizi mbinu Kichwa hiki sio kinu Nabusu ardhi kushukuru asili iliyoumba kipawa hiki adhimu Midondoko ya tungo adimu Sentensi zenye misimamo, unaweza sema nyundo ya hakimu Naganga mbele, sisikii jeuri za wadhalimu Napanga herufi na herufi zinaleta tarakimu Kwenye hundi Jarada la makada wanasema mi ni fundi Wanajipanga na wanasanda kwa makundi Hakuna msaada wa majani au gamba kichwani Hakuna uchawi, ni ujuvi na ulumbi Kwenye vituo vya sakarani, mi ni mbuji Misamiati hapa imelala kwa mkufunzi Gharama gani kwenye chakula, ila wakati Wa mapishi tunajua chenye thamani huwa ni chumvi Jumbe zinasafiri ka fununu Tunu ya sentensi ya kikatili ka hukumu Sumu wanajadili, ka’ kutano la siri Mawakili wanakesha kunikabili ka’ jukumu Stanza zinapangwa kwa vitalu-vitalu Kwa waja wateketeke na vijana bar