Amenitengeneza ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna Mungu alivyo waajabu kwenye maisha yetu kila inappitwa leo.Chukua muda huu kumwambia Mungu asante kwa kukutengeneza vile ulivyo. #MarthaMwaipaja#Amenitengeneza#OfficialVideo