CHAKULA CHA KIROHO KATIKATI YA JUKWAA LA TIGO FIESTA Kwa mara ya kwanza @goodluckgozbert ameweka historia katika jukwaa la #TigoFiesta2019. Tazama namna alivyofanikiwa kushusha baraka na uwepo wa neema za Mungu kwa ndugu zetu wa Rock City Mwanza.