Grova منصة لاكتشاف الأغاني الرائجة والألبومات الجديدة والفنانين وقوائم الموسيقى المختارة. اكتشف الأفروبيت والموسيقى الأفريقية والنيجيرية والأمابيانو والأفروبوب والغوسبل وأغاني العبادة المسيحية إلى جانب الإصدارات العالمية الجديدة.
استكشف موسيقى جنوب شرق آسيا، بما في ذلك الأغاني التاغالوغية والموسيقى الفلبينية وOPM وP-pop والإصدارات الفلبينية الجديدة. كما يقدم Grova الموسيقى الإندونيسية والأغاني الجديدة والرائجة والرومانسية والبوب الإندونيسي ودانغدوت.
سواء كنت تبحث عن الأغاني الرائجة أو موسيقى الاسترخاء أو الترانيم أو قوائم الحفلات أو الأغاني الرومانسية، يساعدك Grova على اكتشاف موسيقى تناسب كل مزاج ولحظة.
Official lyric video for Tanzanian hip hop artist, songwriter, and record producer Dizasta Vina, perfoming Barua kwenda Mombasa, off the E.P Ndugu wa mbali Side A. Stream/download Ndugu wa mbali now https://dizastavina.com/ndugu-wa-mbali/ Lyrics Yeah Kaka hunioni najua Najiuliza ka’ huzisomi barua Nahisi undugu unapotea, sijui kama nakosea Nabaki gizani, sioni hatua Nilikuamini sana Nilikuamini, ukaniangusha Nahisi ka’ unataka kunizunguka Dili za uchakaramu tulivuja mpaka damu, tukavuka Ulipoona naishia Ngome, ukaniruka Nahamishwa sasa, natoka Butimba naenda Segerea Kunakucha, dunia inapita, maisha yanaendelea Siko sawa, siko sawa, napagawa Heri yako wewe uraiani, asili inakupendelea Siku ya hukumu uliniangalia usoni Navalishwa pingu, alafu nakula gwanda Namwangalia Maza, uchungu moyoni Ukanifuta chozi, ukanipa ahadi kuwa "Itakuwa sawa" Na ulisema kwamba utanilindia chalii Utamnunulia nanii, begi, mikebe na penseli Ulimwahidi mama utampitishia sukari Nasikia una zaidi ya mwaka hujamtimbia nyumbani Nasikia unashinda Batani, unakula monde Unanunua kuku mayai, unakula vyote Meza vinywaji havikauki, unavunja pochi Pembeni vimada wa kumwaga, wanakula noti Mitaa inatangaza kuwa umevuka mipaka Inasema umeshasahau mpaka ndoa yako Unafuga vibaraka, midananda Ambao hawakuwepo kipindi tuna`safa’, tunatoa jasho Hukutoa machozi kwa hukumu yangu, kaka Nahisi ulifurahia hukumu yangu, kaka Uliiona nafasi ya kudhurumu fungu langu Dili tumepiga wote, unatafuna nusu yangu, kaka Sababu sikukutaja kwa huu msala Nilitaka ubaki nje ili uweke utawala, kaka Nini hizi story nasikia kwamba wife Na mwanangu hawajala na hawana mahala pa kulala, kaka? Dhamana ya maisha yako iko mikononi mwangu Huo ndio ukweli ambao unausahau likely Haujui naweza nikaku-snitch, nikakuharibia siku, uletwe jela Nikutie visu, try me Nilipigwa mpaka risasi kwa ajili yako Nikapigana ngumi kulipa kisasi kwa ajili yako Nikafukuza ndugu kukupa hifadhi na dhiki zako Nikakupa sikio, nikawa sanduku la siri zako Au nika-testify? Machimbo nayajua, siri zako zote naz