Utukufu ni wimbo ulioandaliwa kama simulizi toka kitabu cha Ufunuo wa Yohana 4 na 5 ukielezea kile Yohana aliona kuhusu Kustahili kwa MwanaKondoo kutwaa kitabu/Title Deed ya kumiliki na kutawala ulimwengu. Sifa iliyompa nafasi hiyo ni namna alivyoshinda dhambi na mauti vitu ambavyo viliwashinda wanaume wote na wanadamu wote.