Grova منصة لاكتشاف الأغاني الرائجة والألبومات الجديدة والفنانين وقوائم الموسيقى المختارة. اكتشف الأفروبيت والموسيقى الأفريقية والنيجيرية والأمابيانو والأفروبوب والغوسبل وأغاني العبادة المسيحية إلى جانب الإصدارات العالمية الجديدة.
استكشف موسيقى جنوب شرق آسيا، بما في ذلك الأغاني التاغالوغية والموسيقى الفلبينية وOPM وP-pop والإصدارات الفلبينية الجديدة. كما يقدم Grova الموسيقى الإندونيسية والأغاني الجديدة والرائجة والرومانسية والبوب الإندونيسي ودانغدوت.
سواء كنت تبحث عن الأغاني الرائجة أو موسيقى الاسترخاء أو الترانيم أو قوائم الحفلات أو الأغاني الرومانسية، يساعدك Grova على اكتشاف موسيقى تناسب كل مزاج ولحظة.
Video for Tanzanian hip hop artist, songwriter, and record producer Dizasta Vina perfoming Joseph na Johnny Featuring Kaa La Moto Written by Dizasta Vina, Kaa La Moto Music by Dizasta Vina. Mixed and mastered by J'Cob Stream Ndugu wa mbali E.P now https://dizastavina.com/ndugu-wa-mbali/ Heshima yako Bwana Joseph Kusalimu kabla ya soga ndio staha ya mahali petu Salamu sana asante kwa ku ukubali mwaliko Kusikia hija yangu nina andiko refu Hekima ya kinywa chako ni ngao nashukuru Nilipanda mbegu nimeona mazao nimeona nuru Hatukuwa na njia moja halisi thabiti japo Ustawi wangu ni matokeo ya misingi yako Maono yako ndo’ yalo’nifanya nibadili Maisha yangu, nifanye mipango kwa akili Niitafakari kesho kwa kina na kwa busara Nijiandae nisije kukiona kifo nikiwa fukara Umekuwa mhimili hakuna nachokudai Umenikabidhi binti nimwoe nimefurahi Najiona nimekua nabeba jukumu Kubeba maono yako kuendeleza gurudumu, Joseph Yeah, Asante kwa kuniletea chanda chema Leo amekuwa wangu naahidi kumlea vyema Amekuwa wangu leo naahidi nitamlea vyema Wanaume wa leo ni wabishi balaa Alafu wavivu wanaweza wakamlaza binti na njaa Ni bora upo unaweza ukanikabidhi nasaha Kwa hizi busara na imani tutaishi kwa raha Yeah, Licha ya kufundishwaga wema na utii Chakaramu wa Manzese ndio alisema havutii Eti nuksi ukiwa nae haupati vimeo Walisema haendani na mafasheni ya leo Matozi wa mjini walimfanyisha hustle haramu Hawakumfuta Machozi, Jasho na Damu Na mimi nimeumizwa huko nitokako fahamu Naahidi kumpa mambo matamu, sio Nusu peponi Nusu kuzimu, Mavazi namvika Hakuhitaji kuwa wazi ili kujua kaumbika Ni vyema alishtuka kwenda mbali na maadili Akairudia asili yake na sasa anaheshimika, Joseph Hafananii Vigodoro, Singeli Au ugoro na mineli Hata aliposhikwa na Afande wa Moro hakufeli Hauwezi kuuchanganya uongo na ukweli Ukiacha nywele ndefu ndani ya shungi la bibi Nje ya urembo wake amefuga ujuzi thabiti Ustaarabu na hekima ulumbi aliakisi Na ndio maana ya Mapinduzi Halisi Nitampandisha kwenye majukwaa, majukwaa ya matamasha Kuhakisha uzuri wake